Kenya News - ktnkenya.tv
Edith Nyenze aibuka mshindi kwa uchaguzi wa chama cha Wiper kugombea kiti cha Kitui magharibi
Gavana Ali Roba aahidi kukumbana na ufisadi Mandera baada ya kupokea ripoti
Isiolo County leaders urge KAA to fast track upgrading the Isiolo International Airport
Business Today Discussion: AFC offering sustainable agri-business funding
Tree cutting along Mombasa road for road expansion
NASA leaders to swear affidavits towards the swearing in of Raila Odinga as the people's president
Wafugaji Nakuru watumia pombe ya busaa kutibu ng'ombe wao
[Site:ktnkenya.tv]
Timu ya Green Commandoes waingia ligi ya NSL
2018-01-17 18:18:36 Baada ya kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya shule ya upili kujikatia tiketi ya kushiriki ligi ya daraja la pili nchini. Timu ya soka ya shule ya upili ya Kakamega almaarufu Green Commandoes wanapania kuzidi kushamiri na kupaa hata zaidi. Moses Wakhisi anatupa taarifa hiyo kwa kina   Read More ...
Timu ya mchezo wa magongo ya kinadada ya Telkom wapania taji la klabu bingwa Afrika
2018-01-17 18:18:32 Baada ya kushinda taji la ligi kuu ya mpira wa magongo nchini kwa mara ya 20, timu ya kina dada ya Telkom inapania kushamiri katika mashindano ya bara Afrika yatakayoandaliwa nchini Ghana kuanzia tarehe 20 mwezi huu. Hata hivyo, timu hiyo inatarajia upinzani mkali katika dimba hilo.   Read More ...
Edith Nyenze aibuka mshindi kwa uchaguzi wa chama cha Wiper kugombea kiti cha Kitui magharibi
2018-01-17 18:18:24 Edith Vethi Nyenze mjane wa aliyekuwa mbunge wa Kitui magharibi Francis Nyenze ndie atakayepeperusha bendera ya chama cha Wiper kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwezi machi mwaka huu. Vethi alimshinda mpinaani wake wa karibu Maluki Kitili ambaye ni mwanawe mwanasiasa mkongwe Nyiva Mwendwa na mwanahabari mwenzangu Murimi Mwangi alizungumza naye vethi kuhusu azma yake kwenye siasa.   Read More ...
Gavana Ali Roba aahidi kukumbana na ufisadi Mandera baada ya kupokea ripoti
2018-01-17 18:18:20 Kaunti ya Mandera imepokea ripoti ya jopokazi lililobuniwa kuchunguza madai ya ufisadi kwenye idara mbalimbali za usimamizi wa kaunti. Miongoni mwa yaliojitokeza kwenye ripoti hio ni kuwa kaunti hio ina wafanyikazi hewa takriban 100, ambao wanapokea mishahara kila mwezi. Tayari wafanyikazi 24 wamesimamishwa kazi huku kaunti ikiahidi kutekeleza mapendekezo ya ripoti hio huku wahusika wakichukuliwa hatua za kisheria.   Read More ...
Wabunge wa muungano wa NASA waafikia kutia sahihi hati kiyapo cha uapishaji wa Raila Odinga
2018-01-17 18:18:01 Wabunge wa muungano wa NASA wameafikia kutia saini hati kiapo kama hakikisho kwamba wako tayari na wanaunga mkono uapisho wa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka. Haya yanajiri huku tetesi zikiibuka kwamba baadhi ya wanachama wa vyama tanzu wanachelea kushiriki uapisho huo. Na kama anavyoarifu Jeff Kirui chama cha Wiper kinasema kipo tayari kwa mazungumzo na upande wa Jubilee   Read More ...
Timu ya taifa ya kriketi yalazwa na timu ya New Zealand katika mchuano wa U19
2018-01-17 18:17:57 Timu ya taifa ya kriketi ya vijana wasiozidi miaka 19 imepoteza mechi yake ya pili katika mashindano ya dunia yanayoendelea nchini newzealand. Kenya, imelazwa na wenyeji New Zealand katika mechi ambayo Jacob Bhula aliandikisha historia mpya kwenye mashindano hayo kwa kupata alama 180 kutoka kwa mipira 144. Ushindi huo umewaweka New Zealand kileleni mwa kundi A na kuwahakikishia nafasi katika robo fainali. Kenya itachuana na mabingwa watetezi West Indies tarehe 20 mwezi huu.   Read More ...
Isiolo County leaders urge KAA to fast track upgrading the Isiolo International Airport
2018-01-17 16:17:39 Isiolo County leaders have urged the Kenya Airports Authority to fast track the process of upgrading facilities at the Isiolo International Airport to allow cargo planes and large passenger aircraft to operate from the airport. They want the runway to be extended from the current 1.4km to 3km.   Read More ...
Business Today Discussion: AFC offering sustainable agri-business funding
2018-01-17 16:17:33 Lucas Meso is committed to ushering Africa into a new light of an empowered people, a people committed to realize the very best themselves, able to derive grit and strength off the adversity and challenges the continent endures, and aspiring a shared dream of freer, just and prosperous continent. The agricultural sector contributes about 25% of the GDP, generates about 60% of the foreign exchange and provides about 70% of employment to the population. In addition, the sector helps to meet the nation’s food requirements and industrial raw material needs. The growth of the sector remains slow compared to the first 20 years in post independent Kenya, a key constraint being inaccessibility of credit by farmers especially the small-scale farmers that accounts for 75% of the total agricultural output and 70% of the marketed produce   Read More ...
PZ Cussons looking to grow sales volumes in 2018
2018-01-17 15:14:18 The manufacturing industry in the country is set for a better year in sales after last year’s slump due to the August 8 elections. Cussons managing director Sekar Ramamurthy, urged the government to create a more conducive operating environment for the manufacturing industry now that the election wave is ebbing. Ramarthurthy said that the company’s productivity suffered during 2017 but the outlook for 2018 is positive.   Read More ...
KCB set to auction 67 cars to recover non-performing loans
2018-01-17 15:14:15 The Kenya Commercial Bank is set to auction at least 67 cars as the banks looks to place a lid on rising non-performing loans. In ad in the dailies the bank has put out a bid where the listed vehicles are set to sold on an is where is basis. With SME's and many Kenyans sagging under a tight economic environment some customers have defaulted on loans forcing financial institutions to auction assets to recover accruing debt. From the sale of the 67 vehicles KCB is set to net over 125 million shillings.   Read More ...
Tree cutting along Mombasa road for road expansion
2018-01-17 14:13:51 A section of Nairobi residents who use Mombasa road have lately wondered why trees are being cleared along the road. Some support the move others claim the environment is being sacrificed for infrastructural development. Mark Namaswa sought answers in the following report.   Read More ...
Human rights activist Ken Wafula succumbs to high blood pressure
2018-01-17 14:13:48 Human rights activist Ken Wafula has died. Wafula is said to have succumbed to high blood pressure. Elvis Kosgey has been speaking to the late rights activit   Read More ...
Athari ya kukatwa kwa miti katika bararaba ya Mombasa
2018-01-17 12:20:40 Wakazi wa mji wa Nairobi wanaotumia barabara kuu ya Mombasa wamestaajabia kukatwa kwa miti kandokando ya barabara kuanzia kipindi cha mwaka mpya. Lakini je w   Read More ...
KCSE results of 1205 candidates cancelled over exam irregularities
2018-01-17 12:20:02 We start off with the Kenya Certificate Of Secondary Education examinations 2017 probe and national exam body has cancelled the results of 1,205 candidates in 9 of the 10 centers alleged to have been involved in examination irregularities. The findings have been sent to the 10 schools through their respective principals and county directors of education. Kenya National Examinations Council Chair Professor George Magoha said the candidates whose results have been cancelled have another opportunity to resit the exam in 2018. They have to register before the set deadline of February 28, 2018.   Read More ...
Machakos High Court receives submissions of petition challenging the illegality of FGM in Kenya
2018-01-17 12:19:50 A Machakos High Court has today received submissions concerning a petition challenging the legality of the Anti-FGM law in Kenya. The petition filed by medical practitioner Dr. Tatu Kamau wants the anti-FGM board disbanded claiming that it was illegally constituted. She however advocated for the medicalization of the act to allow females, just as their male counterparts, to undergo the cut under the supervision of a medical practitioner.... Our reporter Timothy Otieno has returned from Machakos and joins me live in studio now.   Read More ...
NASA leaders to swear affidavits towards the swearing in of Raila Odinga as the people's president
2018-01-17 12:19:27 NASA leaders are set to swear affidavit toward the swearing in of NASA leader Raila Odinga as the people's president on 30th this month. Jeff Kirui is joinin   Read More ...
Wiper nominee for Kitui West paliamentary seat Vethi Nyenze speaks following her win
2018-01-17 12:19:21 To the Eastern region now and we take you back to Kitui West where our political reporter Murimi Mwangi has been speaking to Vethi Nyenze following her win o   Read More ...
Watoto walio na ulemazu wa ngozi, albinism, wapokea msaada wa vifaa
2018-01-17 12:19:15 Wazazi wengi wanaoishi na watoto walio na ulemavu wa ngozi almaarufu albinism hukumbwa na matatizo chungu nzima ikizingatiwa kuwa baadhi yao huwa hawana uwezo wa kifedha kugharamia vifaa na bidhaa mahususi wanazotumia watu waishio na ulemavu huo. Mzee Majaliwa Marua ni mmoja wa wazazi walio na watoto wa aina hiyo , majaliwa ana watoto wawili ambao hapo jana walipata afueni pale walipopokea miwani na bidhaa nyinginezo za kuwawezesha kuishi vizuri na kujikinga na madhara ya mazingira haswaa miale ya jua. Msaada huo ulitolewa na daktari Barbha Choksey kutoka hospitali ya Aga Khan hapa jijini Nairobi na wakaitaka serikali kutenga mfuko wa fedha zinazofaa kuwasaidia Wakenya walio na matatizo ya aina hii   Read More ...
Mifugo wapata chanjo dhidi ya ugonjwa wa petis des peste katika kaunti ya West Pokot
2018-01-17 12:19:09 Wafugaji katika kaunti ya West Pokot wamepata sababu ya kutabasamu baada ya mifugo wao kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa petis des peste. Kulingana na msimamizi wa afya kwa wanyama daktari James Meririsia, ugonjwa huo uliripotiwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 2007. Zaidi ya mifugo elfu themanini walipokea chanjo hiyo iliyofanyika katika kijiji cha dungudungu. Haya yote katika juhudi za kuondoa magonjwa yanayoathiri wanyama.   Read More ...
Wafugaji Nakuru watumia pombe ya busaa kutibu ng'ombe wao
2018-01-17 11:11:19 Mtazamaji je wafamu kuwa pombe ya busaa ni dawa ya maradhi fulani fulani kwa mifugo? Haya yanashuhudiwa huko Nakuru amabpo wafugaji wafugaji wameamua kutumia pombe aina ya busaa kutibu maradhi ya miguu na midomo kwa mifugo wao.Hata hivyo vigngozi wa maeneo hayo sasa wana hofu kwamba kusambaa kwa busaa na matumizi yake kunaweza kukithi mipaka na kukosa kudhibitiwa. Wafugaji hao wanalilia hasara kutokana na ugonjwa huo hatari kwa ng’ombe wao na wanailaumu serikali ya kaunti ya nakuru kwa kukosa kuchukua hatua za dharura ili kukabiliana na ugonjwa huo wanaodai utawaacha masikini hohe hahe.   Read More ...
NTSA, idara ya polisi wa trafiki na wizara ya uchukuzi wahojiwa bungeni kuhusu usalama barabarani
2018-01-17 11:11:16 NTSA, Idara ya polisi wa trafiki na wizara ya uchukuzi wahojiwa bungeni kuhusu usalama barabarani na uongezeko wa kesi za ajali barabarani SUBSCRIBE to our Y   Read More ...
Case filed by Dr. Tatu Kamau seeking to legalize FGM adjourned
2018-01-17 11:11:12 The high court in Machakos has a few minutes ago heard a case filed by doctor Tatu Kamau, who wants female circumcision legalised, will proceed or not. Dr Kamau, who has been practising medicine for 26 years, wants the court to declare as unconstitutional an act that outlawed female genital mutilation. She argues that stopping women from undergoing the cut yet men are allowed to get circumcised is discriminatory.   Read More ...
50 arrested in crackdown against the sale and consumption of shisha
2018-01-17 11:11:09 than 50 people have been arrested in a crackdown against the sell and consumption of shisha in Nairobi. Thirty of them were arrested in Eastleigh while 15 were nabbed on Juja road in an operation the police say will continue to other places in the country. The arrests coming just a few days after the high court declined to lift a ban imposed on the sale and consumption of shisha by health cabinet secretary Dr. Cleopa Mailu   Read More ...
Kaimu Waziri wa Elimu Fred Matiang'i azuru shule ya Mama Ngina, Mombasa
2018-01-17 11:11:05 Kwengineko kaimu waziri wa elimu Fred Matiangí amefanya ziara katika shule ya mama ngina huko mombasa na sasa tunaungananaye Francis Mtalaki akiwa Mombasa kw   Read More ...
Ajuza ateketezwa mjini Kisii kwa madai ya ushirikina
2018-01-17 11:10:51 Tunaanza huko Kisii eneo bunge la bonchari ambapo ajuza mmoja wa umri wa miaka sabini na mmoja ameshambuliwa na kuuawa kufuatia kifo cha ghafla cha mjukuwe mwenye umri wa miaka kumi na miwili maxwell miruka. Wenyeji walimshuku bibi huyo kuwa amemroga mjukuwe, na ndipo wakabomoa nyumba yake iliyoezekwa kwa majani na kumteketeza moto hadi kufa. Ajuza huyo inadaiwa aliwahi kuahidi kutoa adhabu kali kwa watu waliohusika kwenye wizi wa matunda yake na hivyo basi mjukuu wake alipoaga baada ya kuugua maumivu ya kifua usiku mmoja wenyeji wakachukua sheria mikononi kwa kutumia imani za ushirikina. Polisi walichukua mabaki ya marehemu mama biyaki kemunto aliyeishi katika kijiji cha bokoma kata ya riana, na kuupeleka katika hifadhi ya maiti ya hospitali ya rufaa ya kisii   Read More ...
The Big Story: Mistrust creeps within NASA
2018-01-17 06:16:25 Before this fresh push for talks, NASA already had working agenda that they wanted to be the basis of a dialogue between them and Jubilee SUBSCRIBE to our Yo   Read More ...
Kenya secures a seven year 750 million dollar syndicated loan from the trade development bank
2018-01-17 06:16:16 Kenya has secured a seven-year, 750 million dollars syndicated loan from the trade development bank to pay off creditors from an earlier two-year syndicated loan that was extended last year. While cabinet secretary Henry Rotich, said last November a six-month extension of the syndicated facility had been agreed with 90 percent of investors the government has had to takeon more expensive debt to placate a section of the lenders who have stood their ground on repayment. At the same time, Reuters news agency has reported that the government is set to issue a 1.5 billion dollar Eurobond with a tenure of 10 years by the first week of March, to take advantage of high demand for new issues   Read More ...
NASA umesisitiza kuwa hafla ya kuwaapisha Raila Odinga na Kalonzo Musyoka bado ingalipo
2018-01-17 06:16:11 Muungano wa NASA umesisitisa kuwa hafla ya kuwaapishwa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka bado ingalipo mwisho wa mwezi huu licha ya tetesi kutoka kwa baadhi ya   Read More ...
Sombre mood in Juja after a middle-aged man kills his entire family and then took his own life
2018-01-17 06:15:32 A sombre mood has engulfed a village in Juja constituency after a middle-aged man killed his entire family and then took his own life last evening. The incident has apparently been pegged on a multi-million shilling scam which some members of the family say may have caused the man to kill his spouse and three children after losing close to one million shillings.   Read More ...
Kenya may be looking at bitcoin as a vehicle to move the country’s digital trading systems
2018-01-17 06:15:04 Kenya may now be looking at Bitcoin, the volatile global digital currency, as a vehicle to move the country’s digital trading systems forward. Despite protests from the central bank and the Securities and Exchange Commission, many Kenyans still opt to gamble their money in the unregulated currency. Mucheru further emphasised that the country’s economy will greatly be boosted by cryptocurrencies, which are well on their way to being accepted as a legitimate investment class   Read More ...
Bottomline Africa: Lagos Gas explosions
2018-01-17 06:14:59 Atleast seven people were killed and many others injured in two gas explosions in Lagos Nigeria. The first explosion is said to have occurred in Magodo area   Read More ...
Mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu
2018-01-17 06:14:49 hali ya huzuni huku mamia ya waombolezaji wakijitokeza katika shule ya upili ya ngai Ndeithia kaunti ya Nyandarua wakati wa mazishi ya watu tisa waliofariki kufuatia ajali kwenye barabara ya Nyeri – Nyahururu. Tisa hao walikuwa wakirejea nyumbani baada ya kuhudhuria mazishi eneo la Mukurweini kaunti ya Nyeri. Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali ambao waliwataka wadau katika sekta ya usafirishaji kufanya hima huku wakiwataka madereva kuwa waangalifu ili kuepuka ajali za barabarani   Read More ...
Kenya's tea sector is poised to register stronger growth in 2018 compared to last year
2018-01-17 06:14:39 according to tea sector players. According to the Kenya tea development agency, KTDA CEO Lerionka Tiampati, favourable weather in tea growing areas has a boon for the sector   Read More ...
19 year-old form four student in Kisumu risks paralysis due to a police bullet stuck in his thigh
2018-01-17 06:13:37 A 19 year-old form four student in Kisumu risks paralysis due to a police bullet that is stuck in his left thigh. Chrispine Ochieng, now a KCSE examination candidate at Nanga secondary school in Kisumu was shot by police on October 26th at their Nyalenda home in the wake of protests against the repeat presidential election   Read More ...
Bottomline Africa: EU debates Kenya
2018-01-17 06:13:19 The European union today debates Kenya’s political crisis following the 2017 controversial general election that saw president Uhuru Kenyatta re-elected into office. According to the head of the EU observer mission to Kenya Mariette Schaake the debate is centered on an election report released in Brussels , Belgium. The report was released in the wake of calls by the Kenyan government for a postponement to march 2018. Schaake however declined to shelve the release to a later date saying this goes against a memorandum of understanding between Kenya and the observation mission. The Kenyan government has since termed the release unprocedural, disdainful and condescending   Read More ...
Wiper ticket by-elections ongoing in Kitui West
2018-01-17 06:13:13 The late Kitui west MP Francis Nyenze's widow Edith Nyenze is leading in the race for the Wiper ticket for the by-election slated for the 26th of March. She is fighting for the ticket against businessman Maluki Kitilli who is the son of former minister Nyiva Mwendwa.   Read More ...
Cabinet secretary for ICT Joe Mucheru launched the fourth Nairobi innovation week
2018-01-17 06:12:48 Kenyan entrepreneurs may now have the chance to fulfill their dreams of becoming successful business owners. Cabinet secretary for ICT Joe Mucheru, today lau   Read More ...
The Big Story: NASA meets to iron out differences
2018-01-17 06:12:44 Before this fresh push for talks, NASA already had working agenda that they wanted to be the basis of a dialogue between them and Jubilee SUBSCRIBE to our Yo   Read More ...
Barclays group macroeconomic report on the state of the economy
2018-01-17 06:12:38 Kenya is not out of the woods yet, but there are still opportunities for growth. This is according to the Barclays macroeconomic report of 2018. The report, which highlights factors that subdued the country's growth in 2017, paints a picture of resilience and persistence going into 2018   Read More ...
Lamu Island has more than 3,000 donkeys and for many years this has been the only mode of transport
2018-01-17 06:12:09 Lamu Island has more than 3,000 donkeys and for many years this has been the only mode of transport. But this rich history is fading out with motorcycle tran   Read More ...